Wakiamua hata wasionyeshe kabisa, kitu kizuri njia za kupata taarifa siku hizi ni nyingi sana. Kupitia internet, IM tutazipata tu taarifa za ukawa. Na kura tulishampa EL kitaaambo. Tunasubiri oct 25 tu.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kila siku wanakuja na jipya, mara fisadi, mgonjwa, Makapi, mzee, oil chafu, leo wamehamia kwenye udini, sijawahi kuona udini kwenye nchi yetu. Waache kutupotosha.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Siyo jambo zuri kiongozi kama yeye kuhubiri ya Libya, wakati suala la Libya liko wazi kuwa pale tatizo siyo wananchi pekee. Lakini ni msukumo kutoka mataifa makubwa katika kuondoa udikteta. Sasa nchi yetu tuna utaratibu wa kufanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano. Hapo makufuli anapindisha...
Tunahitaji Tanzania mpya yenye fikra ya maendeleo, uzalendo,uwajibikaji na uchapakazi pasipo kuangalia undugunazation. Viva Tanzania.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.