Recent content by Mwenyeji

  1. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kule kwenye SGR umeme ulipokosekana ama hitilafu ilipotokea na treni ikasimama for 2hrs Tanesco mlihusika ama lilikuwa ni suala la ndani la TRC?
  2. M

    Dr. Mwakyembe na Powerpool: Kuna mgongano wa maslahi na Dowans/Richmond?

    Dr. Mwakyembe kuwa na hisa ama kumiliki kampuni ya kufua umeme hakufuti 'zambi' za Richmond na baadae Dowans.Kwanza yeye kama mtanzania na mbunge anayo haki na wajibu wa kikatiba ya kutoa maoni na kutetea maslahi ya taifa bila kujali 'interest' zake. nadhani si sahihi katika hili kumhukumu eti...
Back
Top Bottom