Recent content by mwenyeheri

  1. M

    PICHA: CHADEMA 'wauteka' mji wa Arusha

    Nimefurahishwa sana na umati huu. Hii ni ishara tosha kuwa waTZ wanahitaji na kutegemea siku mpya na asubuhi mpya katika mustakabali wa nchi hii. Hili lisifumbiwe macho. Wanachotaka UMMA watakipata, iwe watawala wanataka au la. CCM wameshindwa Arumeru, wamekubali, wamekua!!!! Chadema imeshinda...
Back
Top Bottom