Recent content by Mwenge07

  1. Mwenge07

    Naomba msaada wa kisheria

    Mwaka 2016...mzee mmoja aitwae STIVIN anayeishi mkoa wa RUVUMA wilaya ya mbinga Dc aligongwa na gari kampuni ya SUPERFEO inayofanya safari za Mbinga to Dodoma hadi kupelekea kupoteza miguu yake yote miwili. Jambo la kusikitisha ni kwamba Kampuni hiyo haikutoa msaada wowote kwa mzee huyo.Pia...
  2. Mwenge07

    Malalamiko ya Wananchi kuhusu mabadiliko na gharama za vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo mwaka 2021

    Serikali tuomba iingilie kati maana sio kwa makato tunayokatwa na hao wa mitandao hasa Tigo nimewachokaaaaa Sana mwanzo kifurushi Cha saiz yako nilikuwa najiunga kwa Tsh.1500 Nilikuwa napewa dk 250 sms 100 na Gb 1.3...kwa wiki.....ghafla washaadilisha 2500 dk 75 +50 sms 100 Gb 1 kwa wiki. Huo...
Back
Top Bottom