Ndugu kwanza nitangulize shukrani kwako kwa mada hii na pia jitihada zako za kuinua sekta ya viwanda vidogo. Mimi nina nia ya kuwekeza na hako kamtaji ninacho ila naomba uniweke wazi kwenye mambo yafuatayo
1. Vipi kuhusu vibali kutoka wizarani na mikoani na sehemu nyingine, vinachukua muda gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.