Zanzibar itakua kamili tu jana mtoto wa mwinyi nae alichangia kuwa zanzibar ipewe sovereign na muungano eti uendelee ccm walishangilia yani wanatuona wa bara tupo poa hatuna kelele
Ccm ndugu zangu insikitisha matusi yenu, kejeli zinawacanganya wananchi, kikwete alimchagua walioba kukubali kwake kuwa mweyekiti ni kosa jamani, kila mtu aiyepewa kukusanya maoni katika nchi hii ni mbaya kwenu , muongo huyu mzee wa watu mutamuu bure kama mnataka selkali mbili toeni hoja za...
Hakuna majibu yaliyotolewa kwa watu wenye akili timamu, upeo wakufikri juu ya kumaliza kero kuptia selikali mbili katika katiba ijayo sasa ccm mnaimba taarabu bungeni baada ya kutoa strong argument
Hata jana nimesikiliza mnamlalamikia jaji walioba hivi kama wananchi hawakwenda wengi kutoa maoni mlitaka walioba awafuate majumbani? Mbona wakati wa uchaguzi mkichaguliwa na wananchi wachache hamkatai hizo nafasi kuwa mumechaguliwa na wananchi wachache? Iweje leo mumlalamikie walioba? Wakati...
unajua nyinyi CCM KAMA MNATAKA SELIKALI MBILI MNAVYOCHANGIA MUWE MNATOA NA MAJIBU YA KERO ZA MUUNGANO HAPO TUNAWEZA KUELEWA MNACHOTUCHANGANYA WANANCHI MNATOA MANENO YA KEBEHI, VITISHO, MIPASHO BILA KUJIBU HOJA TOENI MAJIBU YA KUMILIKI ARDHI, KATIBA YA ZANZIBAR, WIMBO WA TAIFA, BENDERA YA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.