Recent content by mwendomdundo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Kuhusu Uchaguzi wa Zanjadala - Humphrey Polepole na Ismail Jussa

    Kwasababu watu wa ccm wanatumia tumbo kujibu hoja,wakati wa upinzani wanatumia kichwa kujenga hoja.Nadhani umenielewa namaanisha nn mdau!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ccm hawapendi 25 oktoba 2015 ifike haraka

    Mi nilipata mchongo wa kusimamia uchaguzi nimekataa ili nisikose kuichinja ccm tarehe 25
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutokwa na damu kwenye fizi: Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

    Mimi natibu ofisi ipo Msasani karibu na Fish market
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutokwa na damu kwenye fizi: Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

    Yes vina uhusiano mkuu.Kisukari kinatibika tofauti na watu wanavyoaminishwa kwamba hakiponi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwakalebela afunika vibaya Iringa (mafuriko)

    Hahaha hahaha! Dah!
  6. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    Dah!Apumzike kwa Amani!Yeye mbele sisi nyuma.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Warioba: Apinga kauli zinazotolewa na Lowassa pamoja na Sumaye kwenye mikutano yao ya kampeni

    Alikuwa anazungumza hayo kwenye campaign za nani?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Bidhaa bora za afya

    Bidhaa zenu ni za kutoka nchi gani na ni za aina gani?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri ACT-Wazalendo huko Kigoma

    Nahisi kama vile kina bendera nyingi kuliko wanachama!!Hongera wafadhili wa chama
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kufanya mahojiano na Tido Mhando Azam Two kesho Jumapili saa 3 asubuhi

    Wapinzani watarajiwa leo siwaoni.Njooni japo labda mnayo fununu nini kimetokea!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kufanya mahojiano na Tido Mhando Azam Two kesho Jumapili saa 3 asubuhi

    Kipindi kilikuwa recorded why akijarushwa,au wamegundua baada ya kisaidia kumbomoa Lowassa na Ukawa ndio kwanza wanazidi kumpaisha?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kufanya mahojiano na Tido Mhando Azam Two kesho Jumapili saa 3 asubuhi

    Naona masaa yanayoyoma tu kulikoni?
  13. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA ya Dr Slaa INGESHINDWA kwa 10%-, UKAWA ya Lowassa ITASHINDA kwa 68%+

    Ndio umeandika nini wewe?Shirikisha akili kabla ya kukurupuka!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Acha ubaguzi wa kijinsia.

    Umenena vyema mkuu! !Mi nafikiri tuishie hapa maana kuendelea kumjadili uyu msaliti wa mabadiliko ni kumpa shavu la bure.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nimepata picha, kwanini CCM ilimtosa Sumaye kwa miaka 10

    Sumaye jana kafanya nijione mpumbavu kwa kuwapigia kura ccm.Dah!Yaani natamani uchaguzi ufanyike leo ili nikafanye yangu katika sanduku la kura.Pigia Lowassa pigia Ukawa.Ondoa ccm ili tukabadilishe mfumo.kwa maslahi ya nchi
Back
Top Bottom