Recent content by Mwendajr

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mikoa 10 Inayoongoza kwa Uzalishaji wa Chakula Tanzania

    Tabora haipo..?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yahusu: Utapeli unaofanywa na Kampuni ya Kimchina iliyopo Salasala, Dar es salaam

    Alafu kwenye page yao ya Instagram wamelimit comments ukitqka kutuma haziendi sasa hao si ni matapeli kbsa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yahusu: Utapeli unaofanywa na Kampuni ya Kimchina iliyopo Salasala, Dar es salaam

    Acha tuuu ndugu yang Mungu wangu pesa yangu waatatoa tuu ...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Yahusu: Utapeli unaofanywa na Kampuni ya Kimchina iliyopo Salasala, Dar es salaam

    Acha tuuu ndugu yang wife alikurupuka
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yahusu: Utapeli unaofanywa na Kampuni ya Kimchina iliyopo Salasala, Dar es salaam

    She paid on time simu zililetwa zikawa mbovu sasa since last year August? Mpaka leo simu hazijafika na simu wamekua hawapokei niliongea na manager wao akasema atanipigia the next day baada ya kutala nirudishiwe pesa yangu sikuona simu na nikipiga hawapokei, nilifikiri ni mimi tuu kumbe kuna jopo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Yahusu: Utapeli unaofanywa na Kampuni ya Kimchina iliyopo Salasala, Dar es salaam

    Habari ya leo wana JamiiForums wenzangu na waTanzania wenzangu, Napenda kuwaletea habari hii inayuhusu kampuni moja inayoitwa Agiza Kimchina ambayo ipo maeneo ya Salasala katika jengo la Kimchina Dar es Salaam, Mke wangu aliagiza simu kutoka china kupitia kampuni hiyo toka mwaka jana mwezi wa...
Back
Top Bottom