JE WAJUA NI JINSI GANI WAKOLONI WANATUTAWALA KIDIGITALI(UKOLONI MAMBOLEO) NA WALIVYOMZUNGUKA MWENDAZAKE
Habari ndugu zangu wa JamiiForums,
Ninaanza na kueleza nini maana ya Ukoloni mamboleo ni ile hali ya zile nchi tajiri duniani kuingilia masuala ya nchi zinazoendelea kijamii ,kiuchumi na...
Kwenye taasisi kubwa kama hosipitali haswa ambazo wazungu wametoa msaada wa kuweka mitambo ya kidijitali na baadae watanzania wakaajiriwa huwa wanabaki na backdoor nyingi ambazo mwafrika mlala hoi aliyeajiriwa akitaka kuizuiwa ghafla anafukuzwa kazi tena na mwafrika mwenzake ambaye amesomeshwa...
Nachokiongea kipo siri nyingi za nchi zinavujaa je inamaana hamna wasomi Tanzania wanaoweza kukagua hii mifumo au mpaka tumsubiri mzungu aje kutukagulia mifumo yetu
Kweli leo hii upo Tanzania asubuhi unaenda ofsini ukifika mzungu anakwambia ufanye kazi flani na flani jiulize kama hamna faida kwanini wanang'ang'ania kuangalia kwenye seva zetu tena za muhimu sana kama hosipitali
Asante sana sijamaanisha uache kutumia simu nahitaji tuweze kutumia wataalamu wetu wa ndani kufanya mambo yetu na pale tunapotumiwa tusitumike tuwe wazalendo
haaaaaahaaaaaa kwahiyo unakubali sisi ni dunia ya tatu na ni kipi unajivunia kuwa Mwafrica na kipi wewe kama mwafika unaweza kufanya??
Kunachanjo za Corona Zinazalishwa Sauth Africa hautatumie eti kisa zimezalishwa na Mwafrika kwa kuamini waafrika hatuwezi?
Hata huko Madagasca Je Afrika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.