Ahaaa kwahy unamaanisha kwamba naenda kuingiza kadi labda kama Nina dollars 100 naangalia kwa thamani ya hela ya Tanzania Ni shi ngapi alafu ndo ninayotoa
samahani ivi inawezekan kutoa dollars ATM kwa card ya visa huku bongo na Kama hamna unawezaje kutoa dollars kweny card labda Kama Kuna utaratib mwingine,
Ni kwamba Kuna mtu nataka nimwagize anitumie mzigo kutoka Senegal kupitia DHL,Ni mara yangu ya Kwanza kuagiza mzigo nje je nifanyeje ili mzigo nikauchukue huko DHL kwa urahisi.naomba niwasilishe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.