Recent content by mwechaga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kibiti, Pwani: Majambazi yaua Askari Polisi NANE(8)

    Nasubir nisikie vile vituo vya haki za binadam zitasemaje (Anna bisimba )
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hali mbaya ya kiuchumi ya wabunge yawatia hasira

    Utakuta halmashauri moja inamajimbo 3, wabunge wa vit maalum sasa wote hao wanini, ni bora hata kila mkoa kuwe na wabunge ha wa 3 tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hali mbaya ya kiuchumi ya wabunge yawatia hasira

    Ndio maana wanakua wakali kama mbogo alie jeruhiwa, hawaamini kinacho tokea, wengine walitumia mpaka milion 300 wakat wa uchaguzi wakitegemea kupata uwazir, lakini pia wale wafadhili wao wanao fanya biashara ya ngada hali ni tete.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nape, Jeshi la polisi na JWTZ mna la kuongea kuhusu tukio la uvamizi Clouds Media Group

    Huwez kua msemaji wa clouds, ni mpaka wao wenyewe wathibitshe kua wamevamiwa, mkuu wa mkoa ni Mwenyekiti wa kamat ya ulinz na usalama anayo mamlaka ya kutembea na askari wenye silaha na kuingia nao popote
  5. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Kuna amri inatoka juu kuwakataza Mkuu wa Mkoa na Wilaya kukaidi kuja Bungeni kuhojiwa

    Tena wasahau kabisa kuchukua nchi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli atumia lugha ya Kiswahili kwenye hotuba ya kumkaribisha PM wa India

    Yule Rais wa Vietnam alipo kujaga aliongea ruga gani? Mbona hamsemi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    William Lukuvi wazir mkuu, Januari makamba wazir wa mambo ya nje, Mwigulu nchemba Waziri wa fedha
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka viwanja vya Sinoni-Arusha: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Okt 8, 2015

    mi naona watoto ndio wengi cjui nao wanapga kura
  9. M

    JamiiForums Tanzania Waandaaji wahisheni mdahalo wa wagombea urais

    lowasa hataweza kusimama zaidi ya nusu saa lazima aaanguke ndio maana anakwepa mdahalo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe asalimu amri kwa Slaa

    huo ndio ukweli
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mdahalo kwa wagombea Uraisi....

    kweli Chadema mmeshikiwa chini, mnajua kua mgombea wenu hawez kusimama muda mrefu na wala hawez kuongea ndio maana
  12. M

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: UKAWA ipo imara, haitasambaratika, akerwa na kauli za Magufuli, CCM

    katka wanasiasa walio ishiwa hoja nchi hii mbatia ni mmoja wao, tena amshukru Kikwete kumpa ubunge vinginevyo angesha potea
Back
Top Bottom