Ki msingi CCM haikuwa na agenda ya katiba licha ya kuiweka kwenye ilani na kuahidi utekelezaji kuanza ndani ya siku 100. "Jamaa" kasaliti msimamo huo kwa kutuambia "tupambanie" katiba mpya. Sasa wanataka ajiuzulu.
Orodha ni ndefu zaidi lakini la kujifunza ni kwamba wanaume wanabeba mizigo mizito kwa ajili ya familia na taifa. Hatemaye msongo wa mawazo na changamoto za kihisia na kisaikolojia zinazoambatana na wajibu wao katika nyanja mbali, zinawatanguliza mbele ya haki mapema zaidi kuliko wanawake.
Huyu alitindikiwa hekima zamani sana. Hivi kweli kama mngekuwa mnawaheshimu wananchi, mgewafanyia yale maovu mliotekeleza kabla na baada ya uchaguzi? Awamu hii ya huyu mama yenu imekuwa ya utekaji uuaji na mateso wa wananchi wanaohoji utawala bora wa sheria na hii ndo imekuwa hoja ya Jaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.