Siku zote jambo la msingi ni kupiga hatua,kubuni vitu tofauti na jana,Safari hii kutokana na maboresho ya msingi na kuzingatia mahitaji ya watu wengi.....tumeamua kuhamishia lile tukio kubwa la kidigitali kwenye Viwanja vya Posta pale Sayansi/k nyama. Ni fursa pia kwa wale wenye biashara...