Recent content by Mwashiyombo

  1. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, UKAWA, muacheni Lowassa aongoze kampeni yake

    kumbuka chama ni taasisi na kina misingi na miiko yke ambayo haiwez kuvunjwa na mtu yeyote yule ila atafanya siasa zke na shughuli zke za kisiasa chini ya misingi hyo hivyo lowasa hawezi kuachiwa afanye campen yke na timu yak tu
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

    kwanza ww nina mashaka na uwanaukawa wako, Refer to the speech of Barack Obama in Accra Ghana he said "Africa doesn't need strongmen but strong insititutions" also he ended to say "The future of Africa is on Africans" naongezea hili "The future of Tanzania is on Tanzanians" chuku uongoz kama...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Baada kukatwa, atatangaza mali zake na kuhamia ACT?

    hawa waliokata jina la mzee wa safari ya matumain wana akili sana maana kwa wazalendo halis huyo mzee hana sifa ya kuwa rais
  4. M

    JamiiForums Tanzania Baada kukatwa, atatangaza mali zake na kuhamia ACT?

    ukawa safari njema na nyeupe ya ikulu
Back
Top Bottom