Mkuu nimekuelewa ipasavyo na nimefanya kama maelezo yanavyosema sahihi kabisa ... nakusikiza wewe mkuu tuendelee pia naomba uniruhusu nije PM nawasilisha
Habari za muda wakuu naomba kujuzwa jinsi ya kuweka games katika ps3 ambayo bado haijafanyiwa JAILBREAK kea kua niko nayo moja hivi yenyewe haina MULTIMAN na ina game ndani yake sasa naomba msaada katika hili NAWASILISHA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.