Recent content by mwanzepele

  1. M

    Fundi wa mashine ya hydrafoam engine ya hatz

    Habari wadau, Natafuta fundi wa mashine ya Hydrafoam yenye engine ya HATZ ya diesel, engine yangu haifanyi kazi na vinu pia vina shida nahitaji kuifufua ili niweze kuitumia tena. Naombeni msaada wenu
  2. M

    Ushauri wa kununua Volkswagen Golf ya diesel

    Nataka kununua Volkswagen Golf ya diesel (2.0 TDI GT DSG) ya mwaka 2007 ya Uingereza. Naombaeni ushauri kwa ambaye ana ujuzi wa gari hizi haswa kwenye upande wa maintanance na changamoto zake kama imezidi 120K miles. Je ni reliable na nnaweza nikawa nnasafiri nayo masafa marefu?
  3. M

    Naomba ushauri kuhusu Toyota Avensis 2.0 D-4-D

    Asante sana mkuu, ngoja nifanye mchakato.Tena mi nanunua manual trans so haitasumbua.
  4. M

    Naomba ushauri kuhusu Toyota Avensis 2.0 D-4-D

    Dah asanteni wadau kwa kunipa moyo. Ngoja nijipange ninunue naikubali sana hio mashine.
  5. M

    Naomba ushauri kuhusu Toyota Avensis 2.0 D-4-D

    Habari, Nataka kununua gari aina ya Toyota Avensis 2.0 D-4-D, hii gari inatumia mafuta ya Diesel. Kuna mtu ana uzoefu na hizi gari. Pia kuna mtu ameshawahi kununua hii na anayo. Nilikuwa nauliza kuhusu changamoto za maintenance na ushuru wake maana TRA sioni option ya ushuru wa gari kama hiyo...
Back
Top Bottom