Recent content by Mwanza sales

  1. Mwanza sales

    Car4Sale Toyota Vitz new model 5.8M - Mwanza

    Picha zaidi hizi hapa
  2. Mwanza sales

    Car4Sale Toyota Vitz new model 5.8M - Mwanza

    Haya wale mlioahidi Mwaka huu hauishi bila kununua Gari, Mali hii hapa, bei 5.8M tu ipo Mwanza, Cc 1290 Vtz new model. Piga simu 0717072172
  3. Mwanza sales

    Car4Sale Toyota Vitz New Model

    Hapana kaka, mwisho 6.5M
  4. Mwanza sales

    Car4Sale Toyota Vitz New Model

    Kweli kaka, uko sahihi hizi za piston 4 ni gari nzuri sana, na pia kwenye utumiaji wa mafuta utasahau kabisa
  5. Mwanza sales

    Car4Sale Toyota Vitz New Model

    Hii ni piston 4 kaka, inapanda kama kawaida, inanguvu sana njoo ukague ujionee kwa macho
  6. Mwanza sales

    Car4Sale Toyota Vitz New Model

    Habari, ninauza gari yangu aina ya Toyota Vitz New Model namba D'' Cc 1290 piston 4 ipo Mwanza bei ni 6.8M maongezi yapo, Piga cm 0717072172
  7. Mwanza sales

    Frame ya biashara Lumumba Mwanza

    Kabisa kaka, hapa unatakiwa uwe angalau na milioni 250 ndio utaelewa biashara, na uwe unaagiza bidhaa mwenyewe kutoka nje, China india turkey nk, hapo utaona faida sana
  8. Mwanza sales

    Frame ya biashara Lumumba Mwanza

    Good, una akili sana
  9. Mwanza sales

    Frame ya biashara Lumumba Mwanza

    Angalau nimekuelewa, kimsingi biashara nyingi za maeneo ya mjini huwa zinamikataba ya mda mrefu kati ya mmiliki na mfanyabiashara, hivyo mwenye eneo kwa sasa anataka 120M ili akupishe uishi kwa miaka nane ndio uje ulipe kodi, na hapa ni kwa kuzingatia sheria na kanuni za nchi
  10. Mwanza sales

    Frame ya biashara Lumumba Mwanza

    Duh kazi kweli kweli
  11. Mwanza sales

    Frame ya biashara Lumumba Mwanza

    Imeshalipwa anaekuja ataishi miaka 8 bila kulipa kodi
  12. Mwanza sales

    Frame ya biashara Lumumba Mwanza

    Ina kodi ya miaka 8,imetazama barabara unaweza kuuza vipodozi, vitenge, mashuka mapazia, nguo n.k, ipo lumumba Mwanza mjini 0717072172
  13. Mwanza sales

    Tangazo la kuitwa kwenye usaili TRA

    Usikate tamaa, kama haijatokea leo, basi kuna siku utapata, kila jambo na wakati wake endelea kumtumainia Mungu wakati wote. Ipo siku na wewe utapata....
  14. Mwanza sales

    Wale wa TRA mkeka upo hewani

    Sawa tufanye ni mimi
  15. Mwanza sales

    Wale wa TRA mkeka upo hewani

    Wandugu kama una desa lolote la Tax Mgt officer tafadhali tuwekee hapa, tuwafanyie wepesi ndugu zetu wapate pakuanzia, karibuni tafadhali
Back
Top Bottom