Recent content by Mwanz

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    Asijiuzulu tu pia aache hata kuwa mshauri wa siasa
  2. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msichezee amani ya Tanzania, angalieni sababu za nyie kushindwa

    Kwani werevu wa mtu, unapimwa kwa kugoma?
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msichezee amani ya Tanzania, angalieni sababu za nyie kushindwa

    Umejuaje ni ujinga? Heshimu mawazo ya wengine pia
  4. M

    JamiiForums Tanzania Anachofanya Lowassa ni kama jambazi anayelalamika kitendo cha polisi kumnyang'anya Bunduki

    Anajikuta komandoo wa red briged, kumbe hamna shughuli
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa ukawa wavuja,wataka kuhalalisha vurugu ionekane imeonewa na kupata huruma ya wananchi.

    Na ndio maana kura yangu mimi siwapi UKAWA wala CDM
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa ukawa wavuja,wataka kuhalalisha vurugu ionekane imeonewa na kupata huruma ya wananchi.

    IKULU si pahala pa kwenda watu wa ovyo ovyo hawa jamaa hawapati kitu kesho tunamkata EDO
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa ukawa wavuja,wataka kuhalalisha vurugu ionekane imeonewa na kupata huruma ya wananchi.

    Daaa tuombe amani kwa kweli, maana juzi nimeona vijana wa UKAWA wamebeba mapanga na wengine wapo kikomandoo, tunaelekea wapi. Hii nchi yetu sote tushiriki kulinda amani
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uwanja wa CCM Kirumba-Mwanza: Mkutano wa kufunga kampeni za CCM, Oktoba 24

    THIS MASSIVE WILL TELL BY TOMORROW
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uwanja wa CCM Kirumba-Mwanza: Mkutano wa kufunga kampeni za CCM, Oktoba 24

    Sio kibarua bali ni mapenzi kama wewe unavyotoa mahaba kwa EDO,maana mtu akitoa post ya chama fulani amepewa kibarua, aki reply kibarua, dooo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli, balozi wa amani mwenye utayari wa kukabiliana na ufisadi nchini

    Hiyo ilikuwa Jangwani jana jioni, sasa hii ni jioni ya leo huko Mwanza uwanja wa CCM Kirumba
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli, balozi wa amani mwenye utayari wa kukabiliana na ufisadi nchini

    Jamaa atarudi kwao kwenda kufuga ng'ombe
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli, balozi wa amani mwenye utayari wa kukabiliana na ufisadi nchini

    Anayebisha kwamba magufuli sio rais huyo ana matatizo sana, rais ni magufuli, kwa siku hizi mbili wananchi wamestuka sana, wameelewa.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mkubwa BAVICHA kujiunga na UVCCM kesho

    Hilo la kujitoa siyo tatizo, ila wengine wapo katika chama lakini hatuoni ushiriki wao katika kampeni za mgombea urais, hata sijui hili linamaanisha nini
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mkubwa BAVICHA kujiunga na UVCCM kesho

    Haya yote tunayoyaona yanatokea CDM ni kutokana na ukweli kwamba, viongozi wa juu wa CDM hawakuzishirikisha jumuiya zinazounda chama hicho na ndio maana tunaona sio tu hizi tetesi za kuhama viongozi wakubwa wa jumuiya hizo, bali pia ushiriki wa baadhi ya jumuiya za CDM katika kumuunga mkono...
Back
Top Bottom