CHADEMA inatoa roho..hamuiwezi.
Unalikua sakata la escrow wewe? Rugemalila hakuwa fisadi ktk sakat hilo ..aliuza hisa zake kwa halali akalipa kodi ya serikali, na ndiye aliyelitoa nje..bila yeyey we kapulwa ungelijulia wapi??
Hongeleni Bukoba Development Fund..kazeni buti,kelele za Lumumba na...
Katika hali ya kushangaza, mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini kupitia chama cha ACT Megro Mollel amegoma kusaini matokeo ya uchaguzi japo amepata kura 342 tu kati ya kura halali 104,353 kwa kila alichodai kwanini Lema kashinda bila kutaja sababu ya malalamiko yake.
Katika uchaguzi huo...
Wanabodi,
Inashangaza mtu anayejiita muadilifu kuendelea kungangania wizara wakati zaid ya miezi mitatu sasa hajagusa wizarani..huku akiendelea kula mishahara na malupulupu yote wa waziri??
Huu ni wizi wa wazi wazi wa kodi zetu .
Huu ni UKURUNZINZA.
Hata kama JK hajavunja baraza la...
Naona unaongea kinyume nyume..
Ukweli ni kwamba..
" Slaa aliposoma alama za nyakati na kuona atazidi kudhalilika kuwatumikia vibaraka wa ccm , act (kama ilivyopengwa na kina Mwigulu) akagoma kumpanda jukwaa lao, ACT imekata tamaa!!!!!!!!
There's no option ACT has to dead away!!!!!!!!!
Wanabodi,
Wagombea wawili wa urais wamekuwa wakiahidi mabadiliko. Tunagalie kwa kina dhana halisi ya mabadiliko kwa hawa watu.
Lowassa ameahidi mabadiliko kwa kufanya yafuatayo:-
1.Kurudisha katiba ya warioba
2.Kutoa elimu bure mpaka chuo kikuu
3.Bima ya afya
4.Hospitali kila wilaya
5.Posho...
FACTS: AHADI ZA LOWASSA ZINATEKELEZEKA, ZA MAGUFULI HAZITELEZEKI:
AHADI 5 ZA LOWASSA:
Mpaka sasa ameshota takribani ahadi 15 tuongelee 5 kubwa
1. ELIMU BURE HADI CHUO KIKUU (Sh. trilioni 9.9)
2. BIMA YA AFYA, HOSPITALI KILA WILAYA (Sh. trilioni 5.84)
3. POSHO WENYEVITI VIJIJI, MITAA (Sh...
Ni puuzi kujadili ubinafsishaji bila kumjadili Mkapa.
Kamishna tu, tena wa katume tu !! Anawezaje kuwa na nguvu kuliko waziri?? kuliko Rais ??
Juma Mwapachu IS CLEAN MAN, A VERY CLEAN MAN. Vijana wa Lumamba hizi propaganda mnaendesha zitawaghalimu sana.
Hongera Juma Mwapachu kwa UAMUZI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.