Recent content by mwangawake

  1. M

    Je, ni kweli kuwa Wayahudi walikuwa weusi?

    1. Ham ni baba wa weusi lakini sio baba wa negroes au wabantu ambao wameshathibitika kisayansi kuwa ndio Waisrael halisi hasa wa kabila la Lawi (Walawi). 2. Wimbo Ulio Bora 1:5-6, Mfalme Sulemani anajitanabaisha kuwa mweusi. Kumbuka huyu ni Muisrael 3. Waarabu wa asili ni weusi... 4. Uyahudi ni...
  2. M

    Dhambi isiyokuwa na msamaha( unforgiven sin)

    Ukiisoma Mathayo 12:22-33 ndio utaona mtiririko vizuri wa swali la mleta uzi. Na mstari wa 33 ndio hasa unaitaja hiyo dhambi. Hapo kuna kisa cha Yesu kumponya mtu ambaye alikuwa kipofu na bubu sababu ya kupagawa na pepo. Umati ukastaajabu kweli na kujiuliza kama ndiye Mwana wa Daudi lkn...
  3. M

    Dhambi isiyokuwa na msamaha( unforgiven sin)

    Kumkufuru Roho Mtakatifu ni kukata tamaa. Hii ni sawa na kuweka ukomo wa nguvu za MUNGU na kusema hawezi kukuvusha. Ni sawa kabisa na kusema MUNGU hayupo. Kumkufuru Roho Mtakatifu (Kukata tamaa) ndiyo dhambi isiyosameheka duniani wala mbinguni....Wajuvi zaidi wataendelea. Asante.
  4. M

    Nchi ya Usi aliyoishi Nabii Ayubu ilikuwa ipo eneo gani hapa Afrika?

    Hamu mtoto wa pili wa Nuhu ndio baba wa weusi lakini ukitoa Negroes (Niggers au wabantu)... Hapo utagundua, watoto wa Ham (wamisri, walibya, waethiopia (kushites) na wakanaani ni weusi lkn sio Negroes (wabantu). Kuna ramani za zamani zinaonesha eneo la West Afrika liliitwa Negroland au...
Back
Top Bottom