1. Submeter ni nini?
Submeter ni kifaa kinachotumika kugawa au kupima matumizi ya umeme kwa mtu mmoja mmoja ndani ya jengo au eneo moja. Mfano: kwenye nyumba za kupanga, kila mpangaji anapata bili yake kulingana na kiasi alichotumia.
---
2. Submeter inafanyaje kazi?
Submeter hupokea umeme...
Submita kata umeme inakuwezesha Kutumia umeme wako mwenyewe, Acha kuokota fundi mtaani. Ukihitaji Submita nitakuuzia na kukufungia.
Pia nitakupa Elimu namna yakuitumia Submita hiyo. Wengi wamekuwa wakipata changamoto namna ya kuitumia na wakati mwingine kutaka hata kuzifungua...
Kuwa mjanja na submita kata. Ondoa changamoto. Jifunze namna ya kuzitumia Mita janja. Submita hizi ni nzuri sana na utainjoy sana. Endapo ukijua kuzitumia. Kumbuka submita hizi haifungwa kwa chumba kimoja Bali inafungwa kwa kila chumba au kwa kugawa makundi ya vyumba.... ukihitaji...
Tanzania 🇹🇿 Ni sehemu ya kisiwa cha Amani. Lakini Amani Yetu Inaweza kuondolewa na Tawala inataka kutawala kimabavu, kwa kuziba Watu midomo.
Polisi ni wachache kwa Raia na Ikumbukwe kuwa hao polisi Wanaotumika na watawala kuwanyanyasa Raia wanaishi Kwenye Jamii, Binafsi sitokubali Ndugu...
Kama haupo Dar es salaam, mzigo wako unqkufikia popote Ulipo.... kuhusu bei. 110,000 kwa Submita moja. Ila zinaanzia mbili.
Kama upo dar nakuletea unalipia 130,000 pamoja na Ufundi.
Tumia unit zako mwenyewe bila kushea na wengine.
Je unaishi kwenye nyumba ya kupanga na kuna changamoto ya matumizi Umeme?
Au wewe ni mmiliki wa Nyumba za kupangisha na kila siku watu wanagombana kwa sababu ya Umeme?
Basi suluhisho limepatikana. Fungia kila mpqngaji Submita ya kisasa...
Submita kata Umeme.
Habari, leo naomba nitoe elimu kidogo kuhusu submita kata umeme.
Kama nyumba yako ndio kwa mara ya kwanza unataka kufunga submita, kata umeme. Ni lazima uanze kufunga submita mbili.
Ukifunga submita moja haina msaada.......
Kwa uhitaji wa submita za kisasa karibu
Bei ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.