Wanaenda kuangalia wasanii akuna cha msingi kinacho zungumziwa kwa sababu matatizo ya kila siku kama afya elimu miundombinu wamefanya kama kichaka cha kujikosha mwisho wa siku matatizo haya awajatatui bali wanaacha ili mwisho wa siku wa rudi tena kutukumbusha matatizo waliyo shindwa kujatatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.