Recent content by 25phiri12

  1. 25phiri12

    Riwaya: Fedha au Risasi

    RIWAYA: Fedha Au Risasi MTUNZI: Emmanuel Phiri NAMBA: 0758 195 890 SEHEMU: 03 Japokuwa alikuwa mdogo lakini alielewa kuna mchezo mchafu unaendelea dhidi yake. Kipindi akiendelea kutafakari, alisikia kelele nyingi nje ya geti lao. Walikuwa raia wengi waliofika eneo lile kushuhudia nini...
  2. 25phiri12

    Riwaya: Fedha au Risasi

    RIWAYA: Fedha Au Risasi MTUNZI: Emmanuel Phiri NAMBA: 0758 195 890 SEHEMU: 02 Alijitazama vizuri akagundua amevaa mavazi ya nyumbani tofauti na alivyokuwa awali na nguo za shule. Akili ikaenda mbali sana, akahisi labda amepita masaa mengi lakini alipotazama saa yake ya mkononi ikamuonesha...
  3. 25phiri12

    Riwaya: Fedha au Risasi

    RIWAYA: Fedha Au Risasi MTUNZI: Emmanuel Phiri NAMBA: 0758 195 890 SEHEMU YA 01 Aliamshwa toka usingizini kwa teke kali la mbavuni, akakagumia kwa maumivu makali yaliyosambaa mwili mzima kama siafu ashambuliavyo kitoweo chake. Sauti kali ya kukwaruza ililiteka anga, sauti yake ya asili ilikuwa...
  4. 25phiri12

    Riwaya: Mateka

    #MATEKA Licha ya baridi kuwa kali kwa sababu ya mvua iliyokuwa ikiendelea kunyesha, lakini bi Nadia Ali Rayan aliendelea kutokwa na jasho huku moyo wake ukimwenda mbio kama mtu aliyekimbia mashindano ya mbio ndefu. Hakuwa tayari kushuhudia mtoto wake akiangukia mikononi mwa vyombo vya usalama...
  5. 25phiri12

    Riwaya: Mateka

    Ameen
  6. 25phiri12

    Riwaya: Mateka

    RIWAYA: MATEKA MTUNZI: EMMANUEL PHIRI CAPE TOWN, AFRIKA KUSINI Ingawa hali ya hewa ilikuwa tofauti na nchi aliyozaliwa na kukulia lakini alikuwa ameanza kuizoea. Kipindi cha wiki moja alichokaa jiji la Cape Town kilitosha kutengeneza mazingira ya kuzoea hali ya hewa ya jiji lile. Japokuwa...
  7. 25phiri12

    Riwaya: Mateka

    RIWAYA: MATEKA MTUNZI: EMMANUEL PHIRI NAMBA: 0758 195 890 ( KIPANDE CHA KUMI NA MBILI) BAADA YA MWAKA MMOJA (RWAMA MWISHO – 1996) Mziki laini uliendelea kuliteka anga lote la chumba kilichojaa midoli ya watoto, siyo kwamba chumba hicho kilimilikiwa na mtoto, hapana, bali kilimilikiwa na...
  8. 25phiri12

    Riwaya: Mateka

    Asante
  9. 25phiri12

    Riwaya: Mateka

    RIWAYA: MATEKA MTUNZI: EMMANUEL PHIRI NAMBA: 0758 195 890 (KIPANDE CHA KUMI NA MOJA) RWAMA MWISHO – MWAKA 1995 Baridi kali iliendelea kupenya katika mishipa ya msichana mrembo aliyeinama chumbani kwake akilia kilio kikali kilichoambatana na kwikwi, siyo kwamba alikosa mtu wa kumtuliza au...
  10. 25phiri12

    Riwaya: Mateka

    RIWAYA: MATEKA MTUNZI: EMMANUEL PHIRI NAMBA: 0758 195 890 (KIPANDE CHA KUMI) Yalikuwa majira ya saa tatu usiku. Japokuwa ulikuwa wakati wa giza lakini mji uling`aa mataa kila kona. Giza lilipigwa kikumbo kizito na mwanga uliozalishwa na mataa ya barabarani, nyumba pamoja na vyombo vya moto...
  11. 25phiri12

    Riwaya: Mateka

    RIWAYA: MATEKA MTUNZI: EMMANUEL PHIRI NAMBA: 0758 195 890 (KIPANDE CHA TISA) Baada ya kumuelezea mkuu wake wa kazi aliambiwa amtumie namba hiyo ili wajaribu kufanya mawasiliano na makao makuu ya mtandao huo wa laini za simu. Waliamini kwakuwa laini nyingi zilisajiliwa kwa alama za vidole...
  12. 25phiri12

    Riwaya: Mateka

    Usihofu ndg
  13. 25phiri12

    Riwaya: Mateka

    RIWAYA: MATEKA MTUNZI: EMMANUEL PHIRI NAMBA: 0758 195 890 (KIPANDE CHA NANE) Giza lilianza kuufukuza mwanga taratibu, mwanga haukuwa na ubishi wowote kwa sababu ulikuwa umeshatawala kipindi chake cha kuanzia asubuhi mpaka jioni. Sasa ulikuwa usiku, zamu ya ndugu yake giza, ndugu asiyeweza...
  14. 25phiri12

    Riwaya: Mateka

    Asante sana. Waja sasa hivi
  15. 25phiri12

    Riwaya: Mateka

    RIWAYA: MATEKA MTUNZI: EMMANUEL PHIRI NAMBA: 0758 195 890 (KIPANDE CHA SABA) Toyota Probox nyeupe ilifunga breki jirani kabisa na nyumba aliyopanga David Samson na mpenzi wake, kisha msichana wa makamo anayekadiriwa kuwa na miaka ishirini na saba akashuka kwa utaratibu uliotukuka, msichana...
Back
Top Bottom