Recent content by Mwanaume Mtawala

  1. M

    Naomba ushauri kuhusu changamoto hii ya mke wangu

    Kaka muache huyo mwanamke Haraka sana ikibidi anza maisha yako mapya pambana huko lindi kimya kimya siku unarud Arusha Beba Watoto wako wala usimuulize kitu.
  2. M

    Nimemuacha mke wangu niliezaa nae watoto wawili

    Kaka huyo hatakua hajaoa maana ndoa inashikwa na tendo pia heshima na maelewano
  3. M

    Nimemuacha mke wangu niliezaa nae watoto wawili

    Dah kurudiana ngumu sana maana ndio naweza kufa kwa presha
  4. M

    Nimemuacha mke wangu niliezaa nae watoto wawili

    Sasa umeoa Alaf unyumba upate wapi kama mkeo hakupi hio sio ndoa kaka
  5. M

    Nimemuacha mke wangu niliezaa nae watoto wawili

    Shida nikila anapo rudi kwao tu hali ndio inazid badilika maana kwao wanapenda sana mambo ya waganga
  6. M

    Nimemuacha mke wangu niliezaa nae watoto wawili

    Hilo nalo neno itabid nifanye uchunguzi
  7. M

    Nimemuacha mke wangu niliezaa nae watoto wawili

    Aisee sasa ndoa bila tendo tena
  8. M

    Nimemuacha mke wangu niliezaa nae watoto wawili

    Amekua akininyima unyumba kwa muda sana kila nikihitaji amekua akitoa sababu mara naumwa kichwa mara miguu alaf siku zingine nikifanikiwa kusex nae hua ananipa kama kunisusia wala hajishughulishi si kwa sauti wala vitendo. Nimeishi nae takriban miaka 5. Watoto wangu ni wadogo sana Mkubwa na...
  9. M

    Baadhi ya wanawake warembo wana upeo mdogo wa kiakili

    Ni kwel mkuu hata mimi najuta nilioa mwanamke mzuri yamenikuta sasahivi nimempiga chini ubaya zaidi nilizaa nae watoto wawili wa kiume nimeamua kuwachukua ili wasije haribika
Back
Top Bottom