Asanteni sana nyote kwa maoni yenu
Niliamua kuongea nae ili nijue zaidi kiundani na kama nikumuondoa aondoke wote tukiwa na amani
Niliamua kumuweka wazi juu ya tabia zake mbele ya mume wangu pia niliamua kumuelezea zaidi vile ninavyojisikia
NiliweZa kumuandalia kila kitu na week iliyopita...
Poleni na majukumu nyote...
Baada ya kufanya uchunguzi wangu kwa takribani mwezi sasa nyumbani kuhusu dada anayenisaidia kazi za nyumbani nimehisi kitu tofauti ambacho mpaka sasa sijui nianzie wapi kukitatua.
Nakiri mimi si muongeaji sana, asili yangu ni ukimya huwa kuna muda hata nahisi ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.