Utakuta watanzania wengi wakija toka nje ya nchi lazima wapite Kenya. Kama kuna wasafiri wa kutosha toka Nairobi kuja Dar au KIA basi tungeweza kuwa na Direct flights kama mambo yakiwekwa vizuri
Ukitoka kidogo nje ya nchi na ukarudi kwenye viwanja vyetu, utatamani kulia machozi. Pamoja na kwamba kuna ndege kadhaa za kimataifa zinazotua katika viwanja vyetu, lakini mara nyingi viwanja vyetu ni vitupu.
Kama KIA ni mara nyingi tu uwanja hauna hata ndege moja. Dar nako ndege ni chache...
Mimi ni mfanyakazi katika taasisi ya Kikristo iliyoko Moshi. Taasisi hii Ina shule ya Msingi na ya Secondari.
Taasisi hii pamoja na kuwa na watoto wanaotoka kwenye familia za kawaida shuleni, pia huwasaidia watoto walioko kwenye mazingira magumu pia yatima na waliotelekezwa. Mwanafunzi mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.