Na
Nani kakuambia kukamate mateka vitani ni ugaidi? Mateka wanakamata kwa madhumuni mengi sana. Na la kupiga mabomu kwenye makazi ya watu kwa madhumini ya kuuwa watoto, wanawake na vikongwe mbuna haulizungumzii?
Toa ushaidi mateka alibakwa au kuuliwa na Hamas. Mmetumia nguvu nyingi sana kukaririsha watu kuwa Hamas ni watu wa ovyo kwa stori nyingi zisizokuwa na ushaidi. Sasa angalia m/mungu jinsi anavyotisha. Mnawasafisha Hamasi wenyewe bila shuruti
Hao wajuba ni wabishi balaa hawana tofauti na Taliban. Kama marekani alichemsha kwa watelebani basi na hapo atachemsha tu. Kana yupo hapo kibabe basi hana jinsi zaidi ya kuondoka tu.
Wapi imeeleza marekani inaisaidia bajeti ya kijeshi ya saudia kwa 80%?
Hiyo misaada ya kijeshi ni marekani t kijishebedua na kujipendekeza tu. Saudia ina uwezo wa kununua silaha zozote na popote pale inapohitaji.
Alikuwa anampa michumamichuma yenye gharama kubwa usanisi sawa na sifuri.
Kila mtu anamuona mwenzake hana akili🤣🤣
Wewe upo kwenye kukariri tu lakini alichokieleza hapo bi mkuwa kina make sense.
Saudia ndio ilikuwa kete kubwa sana ya marekani kufanya nchi za kiarabu zisiwe na uwelewano. Kama huo uwadui wa iran na saudia marekani ndio alioutengeneza ili apige pesa ya...
Wewe ndio pumba kabisa. Saudia alikubali kuwa kibaraka wa marekani. Na ukishakuwa kibaraka wa marekani hauwezi hata kidogo kuwa upande wa palestina.
Hamas sio wajinga, saudia ilitumika tu kuchelewesha juhudi za palestina kuwa taifa huru
TUONDOLEE UPUMBAVU, ISRAEL HAUKUWAHI NA MPAKA LEO HII...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.