Dada Beatrice, unataka ajipange vipi? Hata jana kama kungekuwa na ulazima au uharaka wa kutoa maamuzi, angeweza kufanya hivyo. Hizi siku mbili sana sana zitamsaidia kujipanga jinsi ya kuwasilisha hukumu ambayo hata wenye akili kiduchu wameshagundua kwamba mheshimiwa Freeman Aikael Mbowe na...
Ni bora hii kesi iishe ili "magaidi" wetu wawe huru wakakae na familia zao ila sijui hii kesi ikiisha tutapata wapi tena burudani nyingine maana hii kesi ilikuwa ni burudani tosha! Nilitamani sheria ziboreshwe kidogo ili kuruhusu Boaz, Kingai, Swila na "msiri" wao Urio wote kwa mpigo wapigishwe...
Kuna maswali yanadsi majibu: -
1. Kwanini akina Bwire, Adamoo na Ling'wenya ni washitakiwa badala ya kuwa mashahidi upande wa jamuhuri? Au soon watabadilishiwa status?
2. Kwanini Denis Urio hayuko pamoja na akina Adamoo kama mshitakiwa (tena namba moja) wakati yeye ndiye aliyechonga mpango...
HII KESI INASHABIHIANA SANA NA KESI NYINGINE YA MCHONGO ILIYOMO KWENYE BIBLIA.....
1 Wafalme 21:
4 Basi Ahabu akaenda nyumbani kwake, ana moyo mzito, tena amekasirika, kwa sababu ya neno lile aliloambiwa na Nabothi Myezreeli, akisema, Sitakupa urithi wa baba zangu. Akajilaza kitandani pake...
Kwanini mnalazimisha kutuaminisha kwamba SSH hana macho, masikio, akili au busara? Kwamba haoni na wala hajui anachokifanya? Kwahiyo anafanyiwa kila kitu? Amekuwa gogo au mfu? Kwahiyo ndani ya chama mtu anaweza kufikia hatua ya kuwa mwanachama, mbunge, waziri na akapanda hadi kufikia ngazi ya...
Hahahahaaa!!! Atakumbuka basi? Wakishakalia zile ofisi unashindwa kuelewa wanakula maharage ya wapi. Mkapa alijuta kwamba kwa miaka 10 akiwa enzini, alisahau kabisa masuala ya kilimo (ambacho kimeajiri zaidi ya 75% ya watz)!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.