Kwa sasa takwimu zinaonyesha kuwa Afrika inakua kwa wastani wa 4.2–4.3% ya GDP kwa mwaka, lakini umasikini unabaki juu huku bajeti nyingi zikielekeza zaidi kwenye miundombinu kuliko maendeleo ya watu. Tanzania pekee, bajeti ya 2026/27 imeweka takribani TZS 7.8 trilioni kwa miundombinu dhidi ya...
"Kwa mujibu wa utafiti ulioongozwa na Benki ya Dunia ulikadiria kuwa kuwekeza dola 1 katika maji safi hutengeneza faida ya dola 4 ya kiuchumi kutokana na kupunguzwa magonjwa ya matumbo (diarrhea) na kupoteza uzalishaji kazi ", Huu Ni mfano mzuri wa jinsi huduma rahisi kama maji safi inavyoweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.