Recent content by mwanamwana

  1. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Ulifanya kosa gani shuleni ukawekwa mtu kati na Walimu?

    Kuna makosa ambayo mwanafunzi akiyafanya shuleni, adhabu yake haishughulikiwi na mwalimu mmoja tu. Unakuta umeitwa mbele ya walimu kadhaa, kila mmoja anauliza alichofanya, na mwisho unaondoka na adhabu ambayo huwezi kuisahau. Nakumbuka mimi na wenzangu kadhaa tulihisiwa kuwa na mahusiano...
  2. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Michango ya harusi imekwama, nawezaje kufanya sherehe kwa bajeti ndogo isiyozidi milioni 5?

    Bajeti nzuri, hapo bado mapambo na yenyewe yana gharama kubwa sana
  3. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Michango ya harusi imekwama, nawezaje kufanya sherehe kwa bajeti ndogo isiyozidi milioni 5?

    Nyumba zetu zenyewe uswazi zimebana hata watu 30 kuwahost majanga
  4. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Michango ya harusi imekwama, nawezaje kufanya sherehe kwa bajeti ndogo isiyozidi milioni 5?

    Asante sana, kumbe sherehe ninayo hapa
  5. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Michango ya harusi imekwama, nawezaje kufanya sherehe kwa bajeti ndogo isiyozidi milioni 5?

    Akiba ipo mfuko wa shati maana naona mambo si mambo
  6. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Michango ya harusi imekwama, nawezaje kufanya sherehe kwa bajeti ndogo isiyozidi milioni 5?

    Uliupiga mwingi hapa, ngoja nichukue hizi ''mbwinu''
  7. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Michango ya harusi imekwama, nawezaje kufanya sherehe kwa bajeti ndogo isiyozidi milioni 5?

    Hapa ndio huwa kimbembe gharama zilipo
  8. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Michango ya harusi imekwama, nawezaje kufanya sherehe kwa bajeti ndogo isiyozidi milioni 5?

    Hapana, hao ni walioahidi michango.
  9. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Michango ya harusi imekwama, nawezaje kufanya sherehe kwa bajeti ndogo isiyozidi milioni 5?

    Huwa nachanga, ngoja tusubirie miujiza.
  10. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Michango ya harusi imekwama, nawezaje kufanya sherehe kwa bajeti ndogo isiyozidi milioni 5?

    Hapo ni wale waliosema kuhdhuria, ila wanaweza kupungua sana ikiwa hatawachanga
  11. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Michango ya harusi imekwama, nawezaje kufanya sherehe kwa bajeti ndogo isiyozidi milioni 5?

    Sasa mkuu kosa langu kuomba ushauri :cool:
  12. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Michango ya harusi imekwama, nawezaje kufanya sherehe kwa bajeti ndogo isiyozidi milioni 5?

    Sasa hata nikisema basi wageni 50, si lazima kutafuta eneo ambalo pia bado gharama zitakuwa palepale
Back
Top Bottom