Ninachoweza kuwalaumu na kuwatia hatiani Madiwani ni juu ya kukubali muafaka kabla Kesi iliyomahakani haijafutwa au kuisha jambo amalo wangeweza kukaa chini na wakaonywa kwa namna yeyote na kurudi kuubatilisha muafaka lkn si kuwafukuza, Mana kuna namna ya upotoshwaji kwa CC
<br />
<br />
Lengo la hoja yako ni zuri lakini ndugu hii mambo mnaichukulia kwa mtazamo wa juujuu jaribu kuchima na muone yaliyo nyuma ya Pazia Mh Lema ni Lobbyist Mkubwa sana na ni Mjanja kuliko Delillah ameirubuni CC nayo imeingia Mkenge kuna Mambo ambayo wengi hamyajui lakini yataibuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.