Recent content by mwanamawe

  1. M

    JamiiForums Hivi kwanini mwanaume akiachwa anaumia sana kuliko mwanamke?

    jaman tuseme na ule ukweli ndoa ni ndoa,na cdhan kama kuna mtu anafunga ndoa kwa mipango ya bdae kuachana na mtu,hutokea tu bila kupangwa!! wote wanaume kwa wanawake huumia,kuachana c jambo jepes ktk ndoa,na inapotokea aidha mume au mke akiwa msababishaj lazma usononeke,mapenz hayana mjanja! ila...
  2. M

    JamiiForums TAFITI: Watu wafupi wana wivu, gubu na ni wagomvi tofauti na watu warefu, lakini...

    no cwadis bana ila wapo wengne wanambwembwe mno,labda wewe c mmoja wao ucihof,kinachoharibu ni zle show off,
  3. M

    JamiiForums TAFITI: Watu wafupi wana wivu, gubu na ni wagomvi tofauti na watu warefu, lakini...

    ackwambie mtu watu wafupi noma,mda wote ni kujishow off waonekane,ujuaji mwng,kumbe hola,kimuonekano pia hawako poa kwa wanaume na wanawake,yan mmh! bora mwanamke mfupi kuliko dume,hatariiiiiiiii
  4. M

    JamiiForums Mwanamke wa ukweli na uhakika karne hii!!!!!

    well said,its perfect me lv it! i wish every woman could keanly follow that! waitin for more on the mens part,
Back
Top Bottom