Recent content by Mwanamapinduzi wa tano

  1. M

    Mliosoma St. Joseph Millennium, mnamkumbuka Simon Mbangakukela? Aliyekuja kusambaratisha utawala wa Kulwa (Daniel Maugo) na Doto (Zakayo Maugo)?

    I know Zakayo personally, nimesoma nae pia Kibaha. He had no appetite for our education system, it's too redundant he said. He said he is too lazy kusoma vitabu vikubwa kama Chandi ila concept zote anazijua, muda wote unamkuta uwanjani. Nina uhakika kabisa jamaa angesoma hata kidogo uTO ulikuwa...
  2. M

    Mliosoma St. Joseph Millennium, mnamkumbuka Simon Mbangakukela? Aliyekuja kusambaratisha utawala wa Kulwa (Daniel Maugo) na Doto (Zakayo Maugo)?

    Hao Zakayo na Dani ni shughuli nyingine, ufalme wao haujawahi kuvunjwa na mtu, afu fuatilia data zako vizuri Zakayo ndio Kulwa, Dani ndio doto. Ni kweli Dani alikuwa TO ila Zakayo ndio alikuwa best student darasani.
  3. M

    Wasafi Media mnakwama wapi?

    Nimekuwa nikifuatilia sana Wasafi Tv channel na radio pia nimeona ni jinsi gani hamjajipanga na mnafanya kazi kwa mazoea. Naamini hata wafanyakazi wenu wengi hawana taaluma ya utangazaji wala uandaaji wa vipindi. Watangazaji wenu wamekuwa na porojo nyingi na kutokuwa na taarifa sahihi...
Back
Top Bottom