Recent content by mwanamapinduzi 74

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nawakaribisha kuunda secret society kama Freemasons

    Wazo zuri sana.ila nadhani Kuwa na mawazo huru zaidi maana waliojipanga. Kuajiliwa kutoajiliwa ni dhana pana sana walioibadili dunia hawakuangalia nafasi zao wala kazi wanazofanya nini jambo kubwa ni kufikiri inje ya box
  2. M

    JamiiForums Tanzania Police kwanini Wasitumie EFD machine

    Swali najiuliza yale mamilioni ya faini wanazo toza askari wa usalama barabarani zinafanyiwa ukaguzi vile vitabu 2: ni halali polisi kukusanya faini njiani 3.kama halali kwanini wasitumie efd machine.zinazotoa risiti halali
  3. M

    JamiiForums Tanzania Magari ya bima

    Natafuta magari Yaliyopata ajali na kuuzwa na bima
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mercury inauzwa

    Biashara ni kuuzina sio kutafutana wee nipe bei na uhakika kama yenyewe na inakidhi viwango vya soko
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mercury inauzwa

    Kwa kilo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mercury inauzwa

    Unauzaje
Back
Top Bottom