Recent content by mwanakwetuu

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Onyango amefungwa spidi gavana miguuni?

    Aliyekwambia mpira ni mambioo 2 nani? per merttusaker alichukua kombe la dunia n Germany alikuwa n mimbioo, vp mayele katetema tena?
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kanji anapigika kinouma ngoja kuanzia kesho nijaribu kushare mkeka humu maana nilikuwa naogopa kunangwa na wadau kama jamaa wa fecebook wiki hii
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Asante barca hasara yangu ya jana naona I naenda kurudi leo
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dah game ya Genk ilibaki kidogo iharibu siku yangu
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni siku gani kubeti kulitaka kukutoa uhai?

    Sio kwamba wenye makampuni Wana mihela mingi Bali hii ni biashara kama biashara zingine, kwenye biashara hiyo hiyo Kuna mwingine atafanikiwa na mwingine ata lose, ukiifanya kwa weredi betting faida yake ni zaidi ya mfanyakazi mfano Kuna mtu yeye kila siku kaweka malengo ya kupata faida ya laki...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hii option inanilipa Sana ila kuna vitu vya kuangalia, kama ugumu wa ligi kama uingereza, ugumu wa mechi, na hata ligi ya bongo inatoa Sana kwa timu za kawaida
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni siku gani kubeti kulitaka kukutoa uhai?

    Kwenye maisha usidharau wanachofanya wenzio hata kama ww hauoni thamani yake, watu wanaendesha maisha through betting
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimeamini hii kitu ukiwa serous nayo ni kazi kama kazi nyingine, now natangaza vita na Kanji niombeeni wakuu
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hapa inategemeana na timu kaka, Jana kwenye mkeka nimeweka chersea na man under 4.5 na zimenipa hela
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    200k Chelsea kachana mkeka wa 80k Leo
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Siku unampiga Kanji unajisikia raha Sana kila muda unaucheki mkeka
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Madrid chuma ya pili
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Nyie takataka mmeona moto mnaopelekewa?
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bayern anaenda kuzingua leo
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hiyo inakuwa win hapo goli zianzie 4 ndio lose
Back
Top Bottom