Imekuwa ni jambo la kawaida kila kitu kulaumu serikali hasa kwa vijana, watu wazima , wakina mama, wazee na watu wa kada mbalimbali mfano, walimu ,madaktari na wengine kutaja wachache.Pia serikali nayo inalalamika kuanzia uongozi wa juu hadi ngazi ya kijiji na seikali ya mtaa.Ushauri anza na...