Recent content by Mwanakatwe2020

  1. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mimi binafsi nishaamua kuachana nayo, yaani kama tunasubiri matokeo ya form four sasa!, tuendelee tu na michakato mingine wakuu hii MDAs na LGAs siku watakayoamua kutoa matokeo tutayapokea.
  2. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Yaani acha tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wale mnaosubiria matokeo ya MDAs na LGAs nawashauri tuendelee na majukumu mengine kwa sasa, hilo la PSRS tuliweke kando. hahahahahaha
  4. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mkuu pepa ni pepa tu
  5. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    ndugu yangu kwa sasa tuendelee kumuomba Mwenyezi Mungu tu, tuvute subra
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya ajira mnajua mnachofanya kweli au mnafanya kwa mazoea?

    pole mkuu, wanaojua zaidi watakuja na jibu hapa, ila nadhani ungevitoa then uapload upya kwa ajili ya nafasi zingine
  7. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Tuvute subra tuuu, watatoa
  8. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    tujuze mkuu ili tuelewe nini kilitokea
  9. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    hahahahahahahaha
  10. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    ninavoyaogopa matokeo hayo acha tu
  11. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mkuu kweli unahisi kuna kanda wanaweza kufeli wote?siamini katika hilo. Ila issue kubwa ni kufaulu tu haijalishi umetoka kanda ipi
  12. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongera sana wote mliolamba mrija wa asali, mmetupa nguvu sana kweli hakuna kukata tamaa
Back
Top Bottom