Si biblia Wala Quran zinaweza kutumika kama ushahidi wa kihistoria. Kumbuka vitabu viliandikwa baada ya matukio halisi kutokea, shida moja ya taarifa zainazoenezwa kwa njia ya mdomo ni kwamba baadhi ya matukio husahaulika. Kwa hio usifate neno moja moja kutambua tofauti ndogo ili kutoa kasoro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.