Ndio.
Lakini tunawahitaji majirani wetu pia. Na yote yanayoendelea kwenye hii sekta yetu ya dunia yana uhusiano. Mfano: ukosefu wa usalama Somalia umetusababisha tupitie shida chungu nzima tangu 2010 hapo. Kwa hivyo, ukosefu wa "stability" huku kwetu unasumbua majirani wetu.
Think!
Chama cha NASA, kulingana na kiongozi chake Raila, kimekuwa chama cha mapinduzi (resistance movement).
Mimi naona ni kama Raila anataka kufanya kama Museveni alivyofanya hapo awali.
Mwaonaje?
Link: Nasa now a resistance movement, says Raila
Raila atawaambia wafuasi wake jambo gani?
...
Uganda’s 2nd Deputy Prime Minister, Minister of EAC Affairs and Chairperson of the EAC Council of Ministers, Rt Hon. Kirunda Ali Kivejinja, has reiterated the need for Kiswahili to be mass oriented and used as a tool for integrating the people of East Africa.
Rt Hon. Kivejinja said that it is...
There might have been adults in the area, but I don't think an adult took the video. You can hear a kid's voice instructing him what to do.
Also, the recording settings. Which adult uses negative/inverted colours while recording videos?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.