Recent content by Mwanahisa

  1. Mwanahisa

    Nauza one coin zangu 1000

    trouble Big Baba one coin ni digital currency, maarufu kama cryptocurrency ni fursa ambayo imebadilisha ulimwengu wa fedha ila imepokelewa kwa mitizamo tofauti. One coin can be exchanged whereby real money is swapped for a coin at the current exchange rate or vice versa. We have personal...
  2. Mwanahisa

    Nauza one coin zangu 1000

    Bei ya one coin moja ni shilingi za kitanzania 31,000/, ila nimeamua kuuza kwa bei ya offer 25,000/. Kwa anae hitaji tuwasiliane kwa simu no 0657 22 44 25. Coin ziko 1000, (25,000 * 1000) 25,000,000/tsh mazungumzo yapo. Tuwasilianae kwa namba ya simu. 0657 22 44 25.
  3. Mwanahisa

    Nahitaji Dirham 400,000 Dhs (Dubai currency) ndani ya mwezi huu, msaada tafadhali

    Mkuu lucky sabasaba natoa shukrani zangu kwako, nitawatafuta mara moja hawa jamaa. Money Stunna nakuheshimu sana kaka.
  4. Mwanahisa

    Nahitaji Dirham 400,000 Dhs (Dubai currency) ndani ya mwezi huu, msaada tafadhali

    Mkuu steveachi ndio maana nimeomba msaada hapa jukwaani, nakusanya kiasi chochote mtu alicho nacho au taasisi yoyote ya kifedha. BoT sidhani kama wataniruhusu mtu binafsi.
  5. Mwanahisa

    Weird facts

    weird indeed......
  6. Mwanahisa

    Nahitaji Dirham 400,000 Dhs (Dubai currency) ndani ya mwezi huu, msaada tafadhali

    Naomba msaada Wakuu, Kiasi hicho tajwa cha fedha nakihitaji ndani ya Mwezi huu wa 6, nanunua kwa shilingi ya Kitanzania au dollar ya kimarekani USD. Shukrani
  7. Mwanahisa

    Nawezaje Kujua Madini Halisi

    regnaldshirima Mkuu tumia technology kujikwamua, kama uko na mawe hayo yapige picha ibandike hapa wataalam watakupa mwongozo na zaidi masoko. Kama ni ya kijani yamkini ni green tourmaline soko lake kubwa ni wahindi wa mtaa wa chipata na sikukuu. Rough Uncut green tourmaline.
  8. Mwanahisa

    Mawe yenye asili ya sumaku

    Nyenyere Mkuu ni wilaya gani hapa Mororgoro? Je wewe umefanikiwa kuuona mwamba wenyewe au amekuletea sample tu? Mimi pia nina biashara ya Copper Ore zaidi ya tani 50, average content 35 to 40% nahitaji mnunuzi kuanzia tani moja kwenda juu. Imechimbwa na iko packed ready for shipping au further...
  9. Mwanahisa

    Tujikumbushe: Ndani ya jumba ya tajiri wa madawa ya kulevya wa Mexico aliyekamatwa!

    Vita dhidi ya Dawa za kulevya ni nzito, kwa mpango huu dah! Mzigo kaa gunia za sembe stoo. Si wangenunua mashine wawe wanaprint hela zao wenyewe tu.
  10. Mwanahisa

    Hii imekaaje?

    Bora niwe Completely Finished kuliko kudakwa unyagoni!
  11. Mwanahisa

    TFDA ichunguzeni dawa ya meno ya whitedent

    Tanzania Foods and Drugs Authority fanyieni hili kazi achaneni na Carolight. Hata lamba lamba na maji ya matunda ya mzee wetu hapo mmeyafungia macho wakati mnajua yana madhara kibao.
  12. Mwanahisa

    5 Year-old Chinese Boy Operating a Tractor.

    No mkuu, nafikiri anamuongelea huyo anaendeesha loader ya caterpillar video ya kwanza juu. Huyo dogo ni wa kwa mzee Dalai Lama kutoka Tibet, A true Mongolian Blood born as a fighter, raised as a warrior.
  13. Mwanahisa

    5 Year-old Chinese Boy Operating a Tractor.

    Wakiwezeshwa wanaweza!
  14. Mwanahisa

    2 years old show skateboarding

    Aiseee I' am challenged to the maximum...!
Back
Top Bottom