Recent content by MWANAHARAMU

  1. MWANAHARAMU

    JamiiForums Tanzania Jiji limekuwa safi kabisa

    HATUWEZI kufanana na wahindi na ule uchafu wao.
  2. MWANAHARAMU

    JamiiForums Tanzania Wahusika wa Mapenzi ya Jinsia Moja(mashoga na wasagaji)Je Nao Hufika Uzeeni??

    Wengi hufa kwenye umri wa miaka 40 hivi Kwa sababu ya upweke.
  3. MWANAHARAMU

    JamiiForums Tanzania Bila Jehanamu hakuna kuiona pepo

    Lete ushahidi usio na shaka. Ila Mimi mfumo wa uzazi ni Moja ya mifumo tu. Kuna wa hewa, Kuna wafahamu, Kuna wa blood circulation. Mpaka Sasa hujui hata unachojaribu kueleza. Kwani Kila kiumbe lazima kizaliwe kwa manii? Elewa ili utokee ni pale male na women chromosomes zinapo pair, it has...
  4. MWANAHARAMU

    JamiiForums Tanzania Bila Jehanamu hakuna kuiona pepo

    Niambie kabla ya Muhammad, Mtume yupi kabla yake alisema, Ashhadu allah illah, ashadu Muhammad Rasul illaah? Kama hakuna hujue Uislamu haukuanzia kabla ya Muhammad. Tuache uongo
  5. MWANAHARAMU

    JamiiForums Tanzania Bila Jehanamu hakuna kuiona pepo

    Hauoni makabuli au unajua matuta ya vizazi yale?
  6. MWANAHARAMU

    JamiiForums Tanzania Bila Jehanamu hakuna kuiona pepo

    Kwa hiyo wewe utapaa? Hivi hili nalo ni swali la kuamini, au tunajua hakika utakufa? Tofautisha Imani na kujua
  7. MWANAHARAMU

    JamiiForums Tanzania Ethiopia na hizi nchi zingine hazifiki 2030 zikiwa nchi moja.

    Nchi 21 Halafu zote zinazotumia kiswahili tunazifuta ukanda huu. Ila likibaki lilivyo ni hatari kwetu.
  8. MWANAHARAMU

    JamiiForums Tanzania Bila Jehanamu hakuna kuiona pepo

    Huu ndio uongo wa karne Ukifa umekufa Niambie nani alifufuka, kwa miaka bilioni3.5 ya hii dunia
  9. MWANAHARAMU

    JamiiForums Tanzania Bila Jehanamu hakuna kuiona pepo

    Kwa hiyo swali lako linaulizwa mfumo wa uzazi ulipotokea? Au hujui processza zygote kutokea? Hapa inaonyesha jinsi ulivyo maamuma wa elimu sahihi! Na sio binadamu tu, hata viumbe VINGINE asivyo viumba huyo muumbaji wenu wa mchongo Bado mchakato ni huo huo.
  10. MWANAHARAMU

    JamiiForums Tanzania Bila Jehanamu hakuna kuiona pepo

    Ukifa tunakufukia chini. Na Wala hatukutupi kule angani. Leta ushahidi kuhusu hiyo Pepo yako
  11. MWANAHARAMU

    JamiiForums Tanzania Bila Jehanamu hakuna kuiona pepo

    Hakuna Pepo, kama ipo thibitisha ipo sehemu gani
  12. MWANAHARAMU

    JamiiForums Tanzania Bila Jehanamu hakuna kuiona pepo

    Mbegu ya mwanamume inapokuatana na yao la kike kwenye mji wa mimba, ndio mimba inatungwa. Kama hata hili hujui ndio utelewa maswala ya peponi na motoni wewe kiande?
  13. MWANAHARAMU

    JamiiForums Tanzania Bila Jehanamu hakuna kuiona pepo

    Tutajie peponi analolijua hata Moja?
  14. MWANAHARAMU

    JamiiForums Tanzania Bila Jehanamu hakuna kuiona pepo

    Manii kama manii haiwezi kugeuka kuwa mtu. Tanua ubongo wako kijana
  15. MWANAHARAMU

    JamiiForums Tanzania Natamani nioe mganda sana!!!

    Hapo utakuwa umeona Mhaya aliye changamka tu.
Back
Top Bottom