Hajakosea kuwekeza labda kitu cha kuhoji amepata wapi pesa ya kuwekeza ? Jibu tungelipata kama ingekuwa rais ni nyerere sio sasa . Ukianza kuhoji mali za vijana wa viongozi kwa uongozi tulio nao utaonekana gaidi ila ukwel ni kwamba wananchi (tumelala) kuna watu waniibia serikali na ndo...
Naamini hizi comments ni za vijana wanaotegemewa kuleta mabadiliko ya nchi hii . Lakini kwa hali hii vijana mnatumika vibaya shame on you . Instead of talking about the rotten Tanzania you here to defend parties . Shame on u tutaikomboa sisi raia wa chini hata kwa mawe Tanzanian politicians have...
Suala la maliasiri Tanzania ni suala gumu coz yawezekana kuna mikono ya wakubwa ambao kimsingi wamenyamaza kimya wanatuenjoy tu . Haiwezekani mambo yako hadharani halafu mtu anabisha tu kama mweu. Tanzania hakuna amani bali utulivu . Serikali tenda haki kwa watanzania amani itakuwepo tu
Viongozi wetu kila siku wanapiga kelele lakini naamini madaraka yanawadanganya mnasahau maana ya amani tenda haki amani itakuwepo . Serikali imeoza kuanzia ikuru mpaka kwa balozi .watu tuna hasira sema tumenyamaza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.