Recent content by mwanaharakatirili

  1. M

    Bila Lissu Bungeni tungeburuzwa sana

    Yaani mi c mwanasiasa ila kwa mh lissu ni wa aina yake tz tumlinde na kumshukuru Mungu kwakutuletea mtu wa aina hii!waliomchagua pia washukuriwe na waakikishe anarud bungen mara zote Amina
  2. M

    Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

    "Mpinzani wa kweli atatoka ndani ya ccm wenyewe"Jk Nyerere,kumkataa lowasa nisawa na kutendeka kwa kauli hii kwa vtendo,ni kweli c msafi ila ana mvuto wa kpekee kwa watz,na hasa ukizngatia watz hawana muda wa kumchunguza cfa za mtu zaid ya mvuto wake!kfup labda hacgombee sehem yoyote na wala...
Back
Top Bottom