Mimi ni kijana mwenye degree ya Human resources management natafuta kazi ndani ya taaluma yangu au hata nje ya taaluma yangu Uzoefu ni katika kazi nimeshawahi kuwa Sales officer na pia nishakuwa Registration officer intern NSSF..Nipo tayari kufanya kazi yoyote halali hata kama ni ya viwandani...
Napenda kuuliza hizi nafasi za kazi zinazoendelea kutangazwa na Halmashauri mbalimbali kwa watendaji wa vijiji.
Swali langu ni je, watu wenye Bachelor degree wanaruhusiwa kuomba?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.