KUFUNGIWA KWA MAGAZETI YA MWANANCHI NA MTANZANIA NI HUJUMA ZA WAZANDIKI WA CHAMA NA SERIKALI
Kwanza napenda kumshukuru mungu muumba wa mbingu na ardhi mwenye kutoa ridhiki zote zile ndogondogo na kubwa. Namshukuru kwakunipa nguvu leo hii kuamka vizuri na nafuu ya kutosha baada ya kulala...
Kwa bahati mbaya nimeyakosa hayo mahojiano,lakini labda tu niseme kuwa,kati ya wakina dada waandishi wa habari waliopo kwa sasa hapa nchini basi ivona kamuntu ni mmoja kati ya ninaowaheshimu kwa kuwa huwa anaongea kwa kufikiri sana sasa kama leo atakuwa ametamka maneno hayo basi amepotoka kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.