Recent content by mwana wa aliye juu

  1. M

    INAUZWA Nauza viatu vya kike bei ya Jumla

    Ikiwa una mtu aliyepo Dar unaweza mtuma aje kuchukua then akutumie. Au ikiwa utaniamini naweza kukutumia hata mkoani kwa bus.
  2. M

    INAUZWA Nauza viatu vya kike bei ya Jumla

    zimebaki pieces 200 karibu sana
  3. M

    INAUZWA Nauza viatu vya kike bei ya Jumla

    Ukitokea Kibo kama unakuja Corner, ingia kulia barabara ya kwanza, tupo kwenye huu mtaa. Karibu sana, mawasiliano 0759891571
  4. M

    INAUZWA Nauza viatu vya kike bei ya Jumla

    Habari ndugu. Jipatie viatu vya kike kwa bei ya jumla ya TZS18,000 tu kuanzia pieces 10 chini ya hapo tunauza kwa TZS20,000 tuu. Tunapatikana Ubungo Msewe - Dar es Salaam WhatsApp: Share on WhatsApp Simu: 0759891571 Karibuni sana.
  5. M

    Mfumo wa kidigitali wa usimamizi wa taarifa za kanisa

    Kwa kipindi kirefu taasisi nyingi za kidini hasa makanisa hayajawa na mfumo rasmi wa usimamizi wa taarifa zake. Hivyo nikaamua kuunda mfumo ambao utawezesha hilo. Sasa nimetoa toleo la kwanza ambapo kwa kutumia hilo utaweza kufanya yafuatayo 1. Kusimamia taarifa za washirika/waumini 2...
Back
Top Bottom