Recent content by mwampwani

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza hamu na Mpenzi wangu, nifanyeje?

    [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]sawa asante
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza hamu na Mpenzi wangu, nifanyeje?

    nitajitahidi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza hamu na Mpenzi wangu, nifanyeje?

    yani moyo umekua mzito tena kumpenda.. kwahiyo hata kukaa naona uvivu kwa sababu namuona wa kawaida sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza hamu na Mpenzi wangu, nifanyeje?

    yeye ananipenda tu lakini ana vijitabia sivipendi mfano gubu na hicho ndo nilianza kukitumia kama kigezo cha kupunguzia upendo.. ila upendo anao
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya MURO yatangaza kuuza mabasi yake, nini kipo nyuma ya pazia?

    kashindwa kodi[emoji26][emoji26][emoji26]
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza hamu na Mpenzi wangu, nifanyeje?

    Habari zenu Nilikuaga na mpenzi wangu nampenda sanaa sasa ikafika mahala nikawa nimependa kiasu kwanba bila yeye sifanyi kitu. Sasa ikaifika kipindi nikawa nimeathiriwa kisaikolojia. Nakua namtaka kila wakati kimapenzi mpaka nashindwa kufanya vitu vyangu! Nikaja humu wakaniambia ni tatizo la...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada hali ya kujisikia kufanya tendo la ndoa kila wakati

    hello! mrejesho. Lile tatizo nashukuru Mungu limeisha sasa niko vizuri. ila wakati mnanishauri kuna waliosema kuwa nampenda sana mwanaume wangu ndio imepelekea saikolojia yangu kuwa vile. sasa tiba niliojipa ni kuchange mind ninapotaka kumuwaza yule mwanaume nawazia vitu vingine japo ilikua...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta dawa ya kupunguza nguvu za kiume

    asikope akakutane na watu wa saikolojia maana ni tatizo hata mimi limenikuta ¼ yake .. nahisi ana hali mbaya mno maana nguvu ya ngono inazidi mipangilio ya ubongo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta dawa ya kupunguza nguvu za kiume

    hilo tatizo mimi limenikuta sio mda mrefu sana nikaja hapa nikaomba ushauri.. japo mimi lilinikuta kama week4 hivi.. na sikufanya ngono ,nilikua naweweseka tu nikona mwanaume nashtuka, halafu hio hali wanaosema akakope bank then awe na deni hamuijui.. hio hali ukiipata hata mtu akikukata na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada hali ya kujisikia kufanya tendo la ndoa kila wakati

    sawa tufatilie wanavotushauri
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada hali ya kujisikia kufanya tendo la ndoa kila wakati

    nashukuru sana[emoji120]
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada hali ya kujisikia kufanya tendo la ndoa kila wakati

    asante sana pia kwa ushauri,nmeshauriwa hivo pia hospital halafu pia naumwa maralia imenishika kula tatizo kwangu na pia nmechelewa kupata period nimepitisha kama siku 10 soon ntapima ujauzito. sasa zile hisia ambazo hutupata tukikaribia period ndio zikadevelod
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada hali ya kujisikia kufanya tendo la ndoa kila wakati

    nashukuru sana kwa ushauri.Mwenyezi Mungu akubariki sana
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada hali ya kujisikia kufanya tendo la ndoa kila wakati

    hata nikigegedwa usiku kucha mchana inaanza tena. sasa mara ya kwanza ilinidrive nikawa nachanganyikiwa kabisa
Back
Top Bottom