Recent content by Mwampimbe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa akwea pipa na kuondoka nchini [PROPAGANDA]

    Mmmh! Kazi ipo! Hivi Slaa na Lowassa nani anamatatizo makubwa. Lowassa wengi tumejua habari zake, hebu mnisaidie wanajamii katika kutafakari kwangu huku. Slaa alikuwa padrii, akatofautiana na wenzake, akaacha utumishi huo, akaoa, akatofautiana na mkewe, akamwacha hadi leo, akaingia kwenye siasa...
Back
Top Bottom