Mi akiniukiza hilo swali na mi naweka standard yangu ya Chini kabisa, Je una bikra? Akijibu sina Huyo sio wa kuoa namuacha Mazima, Bikra lazima awe nayo na hakuna kisingizio, Haiwezekani nioe mke wa mtu kizembe hivyo, Wanaume lazima tuwe na standard sio kuzoa zoa tu, Wao wanazingatia financial...
Subiri uolewe Acha kuendeshwa na Hisia, Huyo mwanajeshi possibility ya kukuoa ni ndogo Sana, Ukuhadaika na Ajira yake Basi Jua umepotezwa, Umri wako unazidi kusonga na Ukijiingiza kwenye Mahusiano nae basi jua wewe ndo Upo kwenye Hatari zaidi na Kitakachojiri ni kuachwa ubaki single mwenye...
Baadhi yao hawanaga Akili kaka, Yani Ndo maana Kuna watu wanawafanyiaga ukatili japo sio sahihi, Ila Kwa Akili kamq Hizo imagine, Anaenda kumuumiza aliyempa heshima na Kumuhudumia
Mzee si utafute Mwanamke mwenye wazazi wake na Usimamizi wa Kueleweka, Huyo keshavuka mipaka kiasi hutamuweza tena kama Utamuoa japo na We unapaswa Kutulia acha kubadili wanawake ila Kwa Huyo Mwanamke hakufai japo Inategema na tabia yako Maana Huenda Mungu kakupa mtu wa Kufanana nae
Yeah, Yani Jamaa anachotaka kufanya ni kuhakikisha Anavunja Ndoa hiyo kabisa kabisa na Kwa Udhaifu wa Wanawake wengi huwa Wanajikuta wanafeli
Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
Kama unaipenda Ndoa yako achana nae Mara Moja laa sivyo ataishia kukukaza au Mumeo atakuacha kwa Kudhani labda Unatembea na Mzazi mwenzio, na Hii ndo Sababu baadhi yetu hatupendi kuoa wanawake ambao washazaa maana Hamjielewagi, Jitu limekuacha katika mazingira mabuvu leo hii anakupigia sim asee...
Mzee huyu mwanamke sio Chaguo lako, Sema na Moyo wako tu kwamba Huyu si Chaguo langu halafu move on basi, Usifuge chuki kwa mtu ambaye umekutana nae Ukubwana Maana sio lazima uishi nae, Kuwa makini usije kurudi jela ukaozea huko ukabaki kujilaumu
Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
Huo umbali umeandika wapi Mbona hakuna Mahala umeweka wazi kwamba hii hutokea muhusika akiwa Mbali! Au hilo neno umesahau, Nilidhani wewe ni mchangiaji kumbe ndo mtoa mada
Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
Ukae karibu na mimi unichokoze [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nakushika ziwa nikiona hukomi nakushika Mbususu najua utaacha uchokozi na utakaa kwa kutulia
Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
Mumeo nae Analeta upumbavu tu, Anashindwaje kuelewa kitu cha Msingi kama hiki otherwise wewe uwe umeandika kujipendelea upande wako na Labda Kuna Kosa Umefanya nje ya Hayo maelezo ila kama hujaongeza chumvi basi Mumeo ametoa boko katika hili
Wewe Umeatukia mchezo mapema Simama imara usizembee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.