acha kudanganya umma kwani ni nani iliyesababisha watu wa escrow bungeni wachukuliwe hatua zile wakati akina chenge wanataka yapite kiaina aina tu. Mbowe ndiye ameiunganisha CHADEMA, bila Kamanda Mbowe CHADEMA ingeyumba ndio maana hata Dr. Slaa anamheshimu mpaka sasa.
Watu msikurupuke kuandika mada ambazo hamna uhakika nazo. Jipeni muda wa kufuatilia kwanza kwa umakini. mfano ukikodi gari ni lazima kumjua sana dereva! au mwenye gari! acheni hizo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.